waziri nchemba amesema imefika hatua shisha inabidi ikomeshwe nchi nzima
kabla hakukuwa na sheria kuhusu shisha na sasa ni muda muafaka wa kuitungia sheria ili ikomeshwe kote nchini
shisha ambayo ni sigara ambayo watumiaji wamekuwa wakichanganya na baadhi ya madawa ya kulevya ambayo hupelekea kuharibu vijana wengi na kupunguza nguvu kazi ya taifa kwa ujumla
mikoa ya dar es salaam na arusha wamekwisha anza kupiga marufuku matumizi ya shisha na kutaka kuitokomeza tanzania nzima
shisha kupigwa marufuku rasmi
By -
May 16, 2017
0
Tags: