mh raisi reo amefanya uteuzi wa viongozi katika vitengo tofauti ambapo amemchagua mj Godfrey mwambe kuwa mkurugenzi mtendaji kituo cha uwekezaji (TIC) ambae kabla alikuwa mkuu wa wilaya ya manyoni
pia kamteua Cliford tandari kuwa katibu tawala wa mkoa wa morogoro pia kala alikuwa mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji.(TIC)
raisi afanya uteuzi huu leo
By -
May 17, 2017
0
Tags: