timu ya majimaji ya mjini songea ni miongoni mwa timu zilizo pigwa faini na TFF
majimaji wamepigwa faini baada ya kurudia kosa ambalo walisha lifanya
majimaji waligoma kuingia kwenye vyumba vya kupumzikia katika mechi yao na JKT RUVU mchezo ulio chezewa mkwakwani jijini tanga
majimaji wametozwa faini ya sh.milion moja baada ya kufanya kosa hilo
Post a Comment
0Comments
3/related/default