Mabomu yalindima zanzibar hii ni baada ya Maalim Seif Ahmad kujitangaza Kuwa ni Mshindi
By -Unknown
October 26, 2015
0
iHali ya usalama sio nzuri huko zanzibar polisi wazingira ofisi za CUF hii imetokea mara baad ya maalim seif sharif ahmad kujitangaza ushindi dhidi ya mpinzani wake Dk. Mohamed Shein
Hali sio nzuri hapa Chake chake hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai kuwa wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa uraisi FFU Wameingilia kati wakiwaonya wananchi hao watawanyike wakakaidi ndipo nguvu ya ziada ilipotumika ya mabomu ya machozi