Haya hapa matokeo mengine ya ubunge yaliyothibitishwa

Unknown
By -
0
JIMBO LA SIHA
Ubunge : DK. Godwin Mollel (Chadema) 22,746 na Aggrey Mwanry (Ccm) 18,584

Msimamizi wa uchaguzi , Rashidi Kitambulio Ametangaza DK. Mollel Kuwa mshindi wa Jimbo hilo ambalo mbunge wake alikuwa Aggrey Mwanry  (Ccm) 

JIMBO LA TUNDUMA
Ubenge : Mwakanyoka Frank (Chadema) 332,422, Frank Sichalwe (Ccm) 17,220, James mwakalonge (TLP) 85, Reddy Makuba (ACT Wazalendo ) 319

Msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi  mtandaji wa halmashauli ya Tunduma Halima mpita ametangaza matokeo hayo

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)