Header Ads Widget

TETESI ZASOKA LEO JUMATATU 11.12.2023

 


Raphael Varane huenda akaondoka Manchester United mwezi Januari kwa vile beki huyo wa zamani wa Ufaransa, 30, hana uhusiano mzuri na kocha Erik ten Hag. (Nicolo Schira)

Tottenham sasa wanaongoza Newcastle katika mbio za kumsajili winga Mwingereza Samuel Iling-Junior, 20, kutoka Juventus. (Football Insider)

Fulham wanaimarisha mpango wao wa kumnunua kiungo wa Le Havre wa Senegal Arouna Sangante, 21. (Sun).

Fulham pia wameonyesha nia ya kutaka kumsajili kiungo wa Fluminense wa Brazil Andre, 22. (Nicolo Schira)

Post a Comment

0 Comments