Header Ads Widget

Mange kimambi atoa utabiri penzi la Haji manara


 Ngoja dada yenu wa taifa niwaambie kitu, hii relationship/marriage will end in premium tears na itaishia kama ilivyoanzia, yani kama jinsi ilivyoanza kwa kiki na mashamsham ya insta itaishia hivyo hivyo kwa mashamsha ya insta.

.
Sio kwamba nawaombea mabaya, hapana. I want them to be happy ila kwa wale tuliosoma Cuba tunajua kuwa history ndo huwa ina predict future. Kwa historia za hawa wooote wawili jinsi ambayo huwa wanakurupuka na relationship na jinsi wote wawili hawaonagi shida kuoa au kuolewa BILA KUMFAHAMU MTU VIZURI, hii kitu lazma iishe in premium tears.
.
.
Ila mdogo wangu @zaylissa_ usikonde siku mkiachana we jua mi niko upande wako. Ukae ukijua huyo atawalipa wale wa upande wa pili wawe upande wake na wakusubulu kama walivyomfanyia Rushyanah mpaka dada wa taifa nilivyoingilia mtanange nikasimama na Rushy na vita tukaishida fastaaa. We kwa sasa tunza content tu, vita ikianza unanipa content mi nitakupigania vita hata kama sikukubali kihivyo maana we nae hujatulia, mtoto mdogo lakini tayari una droo la kutunza talaka 🤣🤣🤣🤣.Ila kwa huyo kiumbe nitasimama na wewe. We nitunzie content tu, siku kikinuka tunammaliza yeye na wale watu wake wa kwenye radio wanaomsaidiaga vita… 🤣🤣🤣. We ntunzie content tu mdogo wangu.
.
.
Ila Haji sijui lini atakuwa aiseee. Ana mambo ya kitoto mnoo na ndo maana anapenda watoto. Yani Haji hawezi ku last na mwanamke matured maana ana utoto sanaz Imagine Zay yuko 20s yeye Manara yuko 50s hivi kweli kuna ndoa ya kudumu hapo???
.
Alafu Manara kutwa kusema yeye ndo anawapa umaarufu hao wanawake but the truth is hao wanawake ndo wanampa umaarufu. He always uses these women kutrend na ndo maana hawezi kuwa na relationship ya kimya kimya… Hata alipokuwa kawaoa Rushy na Ruby alikuwa anawaanika wote wawili kwa pamoja eti anafanya nao interview anawauliza kuhusu ndoa yao ya watu watatu, na wao kina Ruby wanajieleza mbele ya macamera. Now anamtumia Zay kuendelea kukuza jina ila baadae wakiachana atajifanya yeye ndo kamfanya Zay awe star wakati right now anamtumia Zay kutengeneza content na kufanya matangazo.
.
@zaylissa_ I hope ana kulipa kwa kila posti anazoweka kuhusu yanga au jezi na usipokee raum alete range yenye JINA LAKO!!

Post a Comment

0 Comments