Vigezo vya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania


 MUOMBAJI ANATAKIWA: AWE MTANZANIA KWA KUZALIWA.

1. AWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 18 HADI 25.
2. AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA KUWA NA UFAULU WA DARAJA LA KWANZA HADI LA NNE KWA ALAMA 28.
3. AWE NA UREFU USIOPUNGUA 5’3” KWA WASICHANA NA
5’6” KWA WAVULANA.
4. AWE NA AFYA NJEMA ILIYOTHIBITISHWA NA DAKTARI WA SERIKALI.
  • ASIWE NA ULEMAVU WA VIUNGO
  • ASIWE NA MAKOVU MAKUBWA
  • ASIWE NA CHATA MWILINI (TATOOS)
5. ASIWE NA KUMBUKUMBU ZA UHALIFU.
6. AWE TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE NDANI NA NJE YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
7. AWE NA MOYO WA UVUMILIVU PIA AWE MBUNIFU ILI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA.
 2 . VYUO VYA UPOLISI
vyuo vya Upolisi vipo viwili maarufu Tanzania. Kama unasifa tajwa hapo juu vyuo  vya Upolisi  UNAVYOWEZA kujiunga na Upolisi no 
 2.1 CHUO CHA POLISI MOSHI
 2.2 CHUO CHA POLISI DAR ES SALAAM.

Post a Comment

Previous Post Next Post