VIJUE VITU VINAVYOHARIBU AFYA YA UUME WAKO


Linapokuja suala la afya siamini kama tunahitaji mpaka mtu fulani aje kutuhimiza kuchunga afya zetu.





Kuwa na hela nyingi hakuna maana yoyote kama una afya mbovu.





Ni bora uwe na hela kidogo Lakini una afya nzuri kuliko uwe na pesa nyingi Lakini haipiti mwezi umelazwa hospitali au ufe kabla ya umri wako sababu tu upo bize kutafuta hela bila kujali afya yako





Mtu wa mhimu kabisa kwenye maisha yako ni wewe mwenyewe.





Kama unaweka mbele mahitaji ya wengine kabla ya wewe mwenyewe na afya yako nikupe pole mapema





Kama mwanaume unatakiwa ufahamu Kuna vitu unaweza kuwa unavifanya Kila siku na vinakuandaa kulazwa hospitali au hata kufa mapema





Vitu vitatu vinavyoharibu afya ya uume wako





1. Kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo





Kwa mjibu wa wataalamu wa afya ni kuwa mwanaume yoyote anayekuwa bize na mazoezi ya viungo mara kwa mara lazima afya yake itakuwa ni nzuri sana





Mazoezi ni mhimu ili kukuepusha na magonjwa kama ya presha, ya msongo wa mawazo (stress), uzito kupita kiasi, kolesto nyingi na mengine mengi ambayo yanaathiri moja kwa moja afya ya uume wako





Kama hufanyi mazoezi unategemea dawa peke yake samahani nikikuambia itakuwa vigumu kwako kuwa na nguvu za kiume za kutosha kitandani





2. Kuvuta sigara kupita kiasi





Wanaume wengi wako bize na Kuvuta sigara, tumbaku na bangi kupita kiasi na wengi wamechukuwa sigara kama ndiyo kiburudisho chao pekee Kila siku





Vilevi hivi vina madhara linapokuja kwenye suala la afya ya uume na nguvu za kiume kwa ujumla





Moshi unaovuta huenda kuziba mishipa ya damu na kusababisha damu mwilini mwako kutotiririka kirahisi kwenye ogani mbalimbali ikiwemo kwenye misuli ya uume wako





Uume umetengenezwa kwa misuli na mishipa tu damu, hakuna mfupa kwenye uume na uimara na ubora wa uume wako unategemea sana kiasi cha damu kwenye mwili wako na namna inavyotiririka kwa uhuru kwenda sehemu mbalimbali za mwili





Sigara, tumbaku na bangi ni vitu vinavyoongeza sumu mwilini na sumu ni moja ya vitu vinavyoharibu kinga ya mwili na nguvu za kiume na nguvu za mwili kwa ujumla





Kadharika kwa pombe. Usije ukafikiri nazungumzia sigara ukadhani pombe ni salama, hapana, kunywa pombe kupita kiasi Kuna madhara kwa afya yako ya kitandani kama mwanaume





3. Kuwa bize sana na kazi Kila siku





Kuna wanaume wapo bize na kazi masaa 24 toka jumatatu mpaka jumapili hana muda wa kupumzika.





Yeye ni kazi, kazi na Yeye.





Unapokuwa bize sana na kazi ni vigumu uwe na nguvu za kiume na uume wenye afya





Ndiyo ni lazima tufanye kazi ili tupate chakula, ili tuweze kujenga nyumba, tuweze kusaidia wengine na kadharika Lakini tufanyapo hayo isiwe kupita kiasi hadi kuhatarisha afya yako!





Wapo baadhi ya wanaume wapo bize na kazi Januari hadi disemba bila kupata hata wiki 2 tu za kupumzika





Ni kweli tunahitaji hela lakini hela haijawahi kutosha na kamwe hutakuja upate za kutosha kutatua matatizo yako yote





Ndiyo fanya kazi lakini pia pata muda wa kupumzika, fanya kazi masaa machache na kama ni biashara ya kuwa wazi masaa mengi basi ajiri na wengine wakusaidie





Kumbuka misuli na mishipa ya mwili ikiwemo misuli ya uume hutengenezwa Unapokuwa umepumzika au umelala! Ndiyo utaenda gym kunyanyua vyuma Lakini kile ulikuwa hujuwi ni kuwa misuli ya mwili haitengenezwi unaponyanyua vyuma au ufanyapo mazoezi mengine yoyote bali ni wakati ule tu unapokuwa kwenye utulivu na umepumzika





Mimi binafsi najiandaa kustaafu kazi haraka sana na muda wowote kuanzia sasa, nataka kutumia muda mwingi uliobaki kupumzika, kutembelea ndugu jamaa na marafiki na kuwa karibu na familia yangu. Napanga kuacha kazi ya kuhudumia watu wengi au kuwasiliana na watu wengi haraka iwezekanavyo muda wowote kuanzia sasa





Kazi nifanyayo sasa inanilazimu kukaa mbele ya kioo cha simu au kompyuta hata masaa 12 kwa siku. Hii ni kazi mbaya na ya hovyo sana na inaweza kunisababishia upofu na hata saratani nisipokuwa makini





Kama wewe ni mwanaume na unatafuta dawa ya kuimarisha nguvu za kiume na kutibu madhara yatokanayo na punyeto niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175




Post a Comment

Previous Post Next Post