Historia fupi ya king Shaka Zulu mfalme katili kuwahi kutokea duniani


 Shaka Zulu alikuwa mfalme wa kabila la nguni ambao ndiyo wangoni na wengine wakaitwa wazuli kisa Cha wazulu kuitwa wazulu ni baada ya kundi la nguni kunitenga waliondoka wakaitwa wangoni waliobaki wakaitwa wazulu huyu Shaka alikuwa katili haswaa 


Bonyeza video chini kumfahamu zaidi 


Post a Comment

Previous Post Next Post