Baada ya Safari ya usiku mzima majira ya saa Tisa usiku Basi letu lilifika katika mpaka unaotenganisha nchi ya Afrika kusini na Zimbabwe kwenye mpaka maarufu wa Beit bridge
Kama utaratibu ulivyo abiria wote mnatakiwa kushuka kutoka kwenye Basi na kukaguliwa Kisha kugongewa mihuri kwenye passport zenu ndipo muingie upande wa pili wa Afrika kusini
Kama ilivyo kwa raia wa Tanzania huwa tuna siku tisini za kuishi afrika kusini bila ya kulipia visa
Katika gari kulikuwa na watanzania wanne Mimi nikiwa watano kila mmoja akienda dirishani anagongewa visa ya muda wake Kuna mtanzania mmoja alikuwa analalamika kuwa amepewa mdamchache alipewa wiki mbili tuu
Ilipofika zamu yangu nikakalibia dirishani na kumpa passport yangu mtu wa uhamuaji ili aikague na aliyekuwa mkaguzi kwa muda huo alikuwa binti mmoja mzuri wakuitwa Jackline sizwe
Nlipommpa passport yangu akaniangalia usoni akanigongea viza ya miezi mitatu yote Ila kitu ambacho sikukitarajia akanipatia na namba yake ya simu akaniambia nitamtafuta endapo nitapatwa na tatizo na Mimi nikachukua
Abiria tukarudi kwenye gari na Safari ikaendelea ndipo nikakumbuka kumtaarifu mwenyeji wangu Frank kuwa Nishavuka mpaka na saivi nipo ndani ya Afrika kusini na Frank akajibu sawa na yeye ananisubiri...... ITAENDELEA

Tags
Simulizi