Kocha was Simba apewa onyo

Kocha wa Simba SC Sven VandenBroeck amepewa Onyo Kali kwa kosa la kugoma kuwafungulia mlango mwamuzi na Kamishina wa mchezo wakati wa ukaguzi wa timu katika mchezo uliochezwa Februari 01, 2020 kati ya Simba SC (2-0) Coastal Union.

Post a Comment

Previous Post Next Post