TAKWIMU ZA SIMBA NA TP MAZEMBE KWENYE HATUA YA ROBO FAINALI

Draw ya ligi ya mabingwa Afrika hatua ya robo fainali imepangwa, watu wengi walikuwa wanataka kujua nani anakutana na nani hatimaye wameshajua. Mnyama anarudi tena Congo DR baada ya kupangwa na TP Mazembe.
Mechi za kwanza zitachezwa kati ya April 5 na 6 halafu marudiano ni kati ya April 12 na 13, 2019. Simba itaanzia nyumbani na kwenda kumalizia ugenini.
TAKWIMU
SIMBA SC (Kundi D)
-Imecheza mechi 6
-Imehinda mechi 3
-Imepoteza mechi 3
-Sare 0
-Pointi 9 (imemaliza nafasi ya pili kwenye kundi)
Magoli⚽
-Imefunga magoli 6
-Imefungwa magoli 13
TP MAZEMBE (Kundi C)
-Imecheza mechi 6
-Imeshinda mechi 3
-Imepoteza mechi 1
-Sare 2
-Pointi 11 (imeongoza kundi)
Magoli⚽
-Imefunga magoli 13
-imefungwa magoli 4

Post a Comment

Previous Post Next Post