mechi ya uingereza na uhispania yawa gumzo

Timu ya taifa ya Hispania imesafiri mpaka Wembley kukutana na Waingereza kwenye mchezo wao wa Uefa national league. England na Hispania hawajawahi kukutana kwenye mchezo wa mashindano tokea mwaka 2001. Na katika michezo yote 25 waliokutana wamekutana mara 6 tu kwenye mechi za mashindano.

Kocha mkuu wa England Gareth Southgate kuelekea mchezo huo amemzungumzia kinda wa Watford Willy Hughes. Miaka ya hivi karibuni nilimuongelea kijana huyo na kusema ni kijana  mwenye uwezo makubwa sana. Southgate amesema ana matarajio makubwa na kinda huyo.
Taarifa binafsi
MajinaWilliam James Hughes
Kuz17 April 1995 (23)
MahWeybridge, England
Kimo6 ft 1 in (1.85 m)
NafasiKiungo
Southgate hajamuita Hughes ambaye aliwatandika Burnley bao la mbali hivi majuzi.Southgate amesema kwa sasa anamfuatilia kwa karibu sana kinda huyo, pamoja na kinda wengine kama vile Chalobah Rose Barkley na Collum.

ENGLAND
England watakosa huduma za Jamie Vardy na Gary Cahill ambao wote wamestaafu kucheza soka la kimataifa. Wachezaji wengine wawili wana majeraha, Raheem Sterling (mgongo) na Adam Lallana (kiuno).Golikipa wa Southampton Alex McCarthy anatarajia kuanza mchezo wake wa kwanza baada ya kuitwa kwa mara yake ya kwanza.
Matokea mechi za mwisho za England
England0-1Belgium
Colombia1-1England
Sweden0- 2England
Croatia2-1England
Belgium2- 0England
Tafsiri ya Takwimu
  • England wamecheza michezo 10 mwaka 2018 wameshinda 7,  wametoka sare mara 1 na kufungwa mara 3.
  • England wamefunga mabao 14 goals na kufungwa mabao 10.
HISPANIA
wataanza kibarua chao bila David Silva, Andres Iniesta na Gerard Pique ambao wamestaafu soka la kimataifa. Hispania sasa itaanza kutegemea huduma za kiungo wa Real Madrid Marco Asensio chini ya kocha wao mkuu Luis Enrique.
Mechi za Mwisho wa Hispania
Tunisia0-1Spain
Portugal3-3Spain
Iran0-1Spain
Spain2-2Morocco
Spain1-1Russia
Tafsiri ya Takwimu hizo
  • Spain wamecheza michezo  8 kwa mwaka 2018 wameshinda 3, maetoka sare 4 na kupoteza mchezo mmoja tu.
  • Wamefunga mabao 16 na kuruhusu mabao 12 .
Kocha mpya wa Hispania Enrique amemtema Jodi Alba kwenye kikosi chake. Wakati Enrique anondoka Barcelona 201u Alba alisema kuwa anajiona mwenhe furaha zaidi kwenye kikosi cha Kocha mpya bwana Valverde. Kuachwa kwa Alba kunadhihirsha wazi kuwa ameachwa kwa sababu za ugomvi wao binafsi. 

Post a Comment

Previous Post Next Post