Barcelona kuilipa pesa liverpool

kutoka klabu ya Liverpool, na kipengele cha kuilipa Liverpool, kiasi cha paundi million 40 kama bonus kwenye mkataba wa Countinho.Dau la Coutinho lilikuwa takribani €160M pamoja na bonasi mbalimbali.

Vipengele vya mkataba wakeCountinho, wikiiliyopita alitimiza michezo 25 katika ligi kuu Spain, dhidi ya Real Valladolid, Barcelona inalipa Liverpool, kiasi cha paundi million 5 kutokana na kipengele hicho kuwa kama Phelippe Coutinho atafikisha mechi 25.

Kipengele kingine kinaeleza kuwa kama Countinho, atafikisha mechi 100 katika mashindano yote ya blaugrama, basi Liverpool wataweka kibindoni kiasi cha paundi million 20.Mkataba wake unaeleza kuwa kama Barcelona watafuzu klabu bingwa msimu wa mwaka 2018/19 na msimu wa mwaka 2022/2023, basi wakatalunya hao watailipa Liverpool, kiasi cha paundi million 10.

Kipengele cha mwisho ambacho kitawasulubu Barcelona, ni pale watakapofanikiwa kitwaa kombe la klabu bingwa basi Liverpool itaenda kudai kiasi cha paundi million 5.

Post a Comment

Previous Post Next Post