Utafiti uliofanyika hivi karibuni nchini Korea unaonyesha kuwa, binadamu anaweza kupata madhara makubwa kiafya endapo atalala kupita kiasi.
Kwa Mujibu wa Daktari Evan Rosenbuth, ripoti ya utafiti huo inaainisha madhara hayo kuwa ni pamoja na kuleta hitilafu kwenye utandaji kazi wa ubongo, hivyo mhusika kuchukua muda mrefu katika kufikiri tofauti na mtu anayelaal kwa wastani.
“Utafiti huo unakwenda mbali zaidi na kueleza kuwa, kulala kupita kiasi kunaweza kumsababisha mhusika kupata aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari na vilevile kusababisha matatizo ya moyo,” aliseama Dk Rosenbluh.
TAZAMA UTANI WA.MAU FUNDI BAADA YA YANGA KUFUNGWA..usisahau KUSUBSCRIBE
Tags
afya
