RAISI MAGUFULI ATANGAZA NEEMA KWA WAFANYAKAZI

Baada ya kimya kirefu atimae mh rais John Pombe Magufuli atangaza neema kwa wafanyazi nchini wakiwemo wale wanao idai serikali ambapo raisi amesema watalipwa kila kitu wanacho stahili huku akisema serikali inapesa nyingi

MTAZAME KWENYE VIDEO HII.

Post a Comment

Previous Post Next Post