MELI NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA UGIRIKI

Serikali ya Ugiriki imeikamata meli yenye usajili wa Tanzania, ikielekea nchini Libya huku imebebea vifaa vya kutengeneza silaha.
-
Umoja wa Mataifa na Ulaya uliweka vikwazo vinavyozuia kuuza au kupeleka silaha Libya tangu mwaka 2011
-
Je, Nini chanzo cha Meli za mataifa mengine kutumia bendera ya Tanzania?

Post a Comment

Previous Post Next Post