BREAKING NEWS:MOTO WAZUKA KWENYE JENGO LA BENKI KUU MWANZA

Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

Chanzo: ITV.


Post a Comment

Previous Post Next Post