MEYA WA UBUNGO AKANUSHA KUPIGANA NA LEMA

Mapema kulikuwa na taarifa kuwa katika kikao cha chadema meya wa ubungo alipigana ngumi na mbunge wa arusha mjini baada ya kumtuhumu john mnyika kuwa ni msaliti na anataka kutimkia ccm.

baada ya kutokea hayo meya alitafutwa ili kutoa maelezo machache ndipo aka kanusha

KUTAZAMA VIDEO AKIKANUSHA BONYEZA HAPA

Post a Comment

Previous Post Next Post