Beki wa klabu ya Simba, Jjuuko Murshid toka Ligi Kuu ya Tanzania Bara amejumuishwa ndani ya kikosi cha timu ya taifa ya Uganda kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji.
Mlinzi huyo licha ya kukosa namba ya kudumu kwenye kikosi cha Simba chini ya Joseph Omog na msaidizi wake, Masudi Djuma amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 26 cha Uganda.
Jjuuko aliitwa pia aliitwa kwenye kikosi cha Uganda kilichoivaa Congo Brazzaville huku hiyo ikiwa si mara ya kwanza kuaminiwa kuiongoza ngome ya ulinzi ya timu hio kwenye michezo mbali mbali.

Tags
Michezo