Watu 115 wameawa Nchini Misri kwa shambulio la bomu na bundiki wakiwa ndani ya Msikiti wakisali sala ya Ijumaa vyombo vya habari vimerepoti.
Mashuhuda wamesema kuwa mskiti wa al-Rwada ulioko kwenye mji wa Bir-Al-Abed ulilengwa na watu hao walijihama kwa silaha nzito za kivita.
Polisi wa Eneo hilo wamesekuwa watu hao waliokuwa kwenye magari manne walifika eneo hilo na kuanza kuwamiminia silaha watu waliokuwa wakisali msikitini.
Shirika la Habar la AP limeripoti kuwa zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa katika shambulio hila na pcha kutoka eneo hilo zinasema kuwa msikiti huo umetapakaa damu
Misri imekuwa ikipigana na makundi mbalimbali yenye silaha tangu 2013 hali inayopelekea eneo hilo la Sinai kutokuwa na utulivu
Post a Comment
0Comments
3/related/default