Tunapozungumzia wasomi tunazungumzia idadi ya watu waliomaliza elimu za vyuo vikuu yaani walau mtuu ana digrii moja.
Kwa mujibu wa taarifa ya mwaka 2013 ya shirika la OECD ambayo 27/7 Wallstreetwalinukuu zifuatazo ndio nchi zinazoongoza:
1. Russian Federation
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 53.5%
2. Canada
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 51.3%
3. Japan
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
4. Israel
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
5. United States
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 42.5%
6. Korea
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 40.4%
7. United Kingdom
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.4%
8. New Zealand
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%
9. Finland
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%
10. Australia
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 38.3%
Kumi bora kwa Afrika kwa mujibu waUNDP na kunukuliwa na Answers.com ni :
1. Zimbabwe
2. Tunisia
3. Nigeria
4. Misri
5. Afrika Kusini
6. Ghana
7. Kenya
8. Uganda
9. Zambia
10. Morocco
Kwa mujibu wa taarifa ya mwaka 2013 ya shirika la OECD ambayo 27/7 Wallstreetwalinukuu zifuatazo ndio nchi zinazoongoza:
1. Russian Federation
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 53.5%
2. Canada
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 51.3%
3. Japan
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
4. Israel
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
5. United States
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 42.5%
6. Korea
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 40.4%
7. United Kingdom
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.4%
8. New Zealand
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%
9. Finland
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%
10. Australia
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 38.3%
Kumi bora kwa Afrika kwa mujibu waUNDP na kunukuliwa na Answers.com ni :
1. Zimbabwe
2. Tunisia
3. Nigeria
4. Misri
5. Afrika Kusini
6. Ghana
7. Kenya
8. Uganda
9. Zambia
10. Morocco
Tags
Elimu
