MWIZI ARUDISHA VITU ALIVYO IBA BAADA YA MWENYE NAVYO KUMTUMIA NYUKI
By -Admin
November 27, 2017
0
Mwanaume mmoja kwenye mji wa kijura nchini Uganda akutana na kali ya mwaka baada ya kuiba kwenye nyumba moja na kisha mwenye nyumba kuamua kumtumia nyuki ili wamwoneshe kazi
mwanaume huyo aliiba sabufa kwenye nyumba moja kwenye mji wa kijura majira ya mchana na baada ya kukaribia nyumbani kwake kundikubwa la nyuki lilianza kumfuata na kukaa mgongoni na shingoni huku wakiwa hawataki kuondoka
kwa mujibu wa mashuhuda nyuki hao hawakuwa waki mng'ata ila walitengeneza makazi kwenye mwili wa mwizi huyo hatua iliyo mpelekea mwizi huyo kuamua kurudisha vitu alivyo viiba na mala baada ya kumkabizi mwenye vyake nyuki hao walitoweka...