MTOTO WA RAISI MPYA WA ZIMBABWE AONESHA JEURI YA FEDHA

Mtoto wa raisi mpya wa ZIMBABWE ambae anatarajiwa kuchukuwa madaraka ya mugabe aonesha jeuri kubwa ya fedha kwenye mitandao miongoni mwa picha zake ni hizi huku akijinasibu kuwa muda si mrefu atakuwa waziri baada ya baba yake kuwa raisi mpya wa zimbabwe

mtoto huyu wakiume kwa sasa anaishi.nchini afrika ya kusini na anatambulika kwa tabia yake ya kutumia pesa kwa fujo huku akijilingia cheo cha baba yake..

Post a Comment

Previous Post Next Post