Wakazi wa kijiji cha Igurusi kata ya Igurusi tarafa ya Ilongo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wamepigwa butwaa baada ya mbuzi aliyepo katika kijiji hicho kuzaa mtoto anayefanana na binadamu kama unavyoona kwenye picha.
Tukio hilo limetokea jana Jumanne Oktoba 31,2017 majira ya saa 2 asubuhi, nyumbani kwa mkazi wa kijiji hicho maarufu Mwakasinga
Tukio hilo limetokea jana Jumanne Oktoba 31,2017 majira ya saa 2 asubuhi, nyumbani kwa mkazi wa kijiji hicho maarufu Mwakasinga
Tags
Kitaifa