Afrika ni bara la pili duniani kwa ukubwa na lenye idadi ya watu zaidi ya billioni 1.111 kuna zaidi ya lugha 2000 zinazotumika barani Afrika, ukizingatia nchi kama Nigeria ina lugha 250 na asilimia kubwa ya bara hili watu huzungumza na kutumia lugha ya ishara.
10. Zulu
Ni lugha ambayo inatumika kanda ya Mashariki ya Afrika Kusini na ni lugha inayoandikwa kwa kilatin na pia hutumika sana katika vyombo vya habari nchini humo na ni lugha ya pili ya kibantu inayozungumzwa sana baada ya lugha ya shona. Inazungumzwa na zaidi ya watu ya millioni 10.
9. Amharic
ni lugha inayotumika na watu zaidi ya millioni 18 Barani Afrika, na ni lugha ya pili kuzungumzwa baada ya kiarabu. Ni laugh rasmi inayoumika katika nchi ya Ethiopia na hutumika na wamiaji zaidi ya millioni 2.7
8. Igbo
Ni lugha ya asili inayotumiwa na zaidi ya watu millioni 24 Latina bara la Afrika na ni lugha yenye lahaja 2o na huandikwa kwa kilatin.
7. Yoruba
Watu wengi nchini Nigeria huzungumza lugha ya yoruba na ni maarufu kwenye nchi kama Togo na Benin ambapo watu zaidi ya millioni
6. Oromo
Lugha hii sio rasmi katika Taifa lakini lugha hii itaikuta ikitumika kwenyenye nchi kama Kenya, Ethiopia,Somalia na Egypt na hutumika na watu zaidi ya millioni 30.
5. Hausa
waafrika zaidi ya millioni 50 wanaotokea Afrika ya Kaskazini, Afrika ya kati na Magharibi hutumia lugha hii , ni lugea ambayo imechanganyika na asili ya kiafrika pamoja na Asia
4. Kifaransa
Ni lugha inayotumika na watu zaidi ya millioni 90 kutokana na wakoloni wa kifaransa kutawala baadhi ya nchi katika bara la Afrika na hivyo mataifa kama Morocco, Algeria,Senegal na Rwanda hutumia lugha ya Kifaransa
3. Kiswahili
Ni lugha inayotumiwa na watu zaidi ya millioni 100 na ni lugha rasmi inayotumika nchini Tanzania, Kenya na Uganda, ni lugha ya kibantu na lugha mama kwa waswahili, jamii kutokea Tanzania, Kenya, Rwanda, Uganda, Mozambique, Brundi na demokrasia ya Congo.
2. Arabic
Lugha ya kiarabu ni lugha iliosambaa na kuwa lugha rasmi kwa baadhi ya nchi Afrika na kuwa na idadi ya watu zaidi ya millioni 100 wanaozunguma lugha hiyo, na kuwa rasmi Algeria, Mauritania, Libya, Tunisia na Egypt na kutumika pia kwenye nchi kama Somalia, Chad,Sudan, Morocco
1. Kingereza
Ni lugha ambayo inatumika na zaidi ya watu millioni 700 na hutumika na nchi kama Botswana, Sierra Leone, Cameroon, Rwanda, Niger, Sudan, Liberia, Tanzania,Uganda na Ghana.
Post a Comment
0Comments
3/related/default