Header Ads Widget

WATU 20 WAFARIKI BAADA YA MTU KUWASHAMBULIA NA BUNDUKI

Watu zaidi ya ishirini wameuawa na 100 kujeruhiwa baada ya mtu mmoja.kufyatua risasi kwenye umati wa watu mjini las vegas

maelfu ya watu walikuwa wakifuatila mziki wa country kabla ya mtu mmoja kuwafyatulia risasi ovyo

mtu huyo alikuwa amesimama kwenye gorofa la 32 na kuwa shambulia maelfu ya watu walio kuwa chini wakiburudika na muziki

baada ya tukio.muuaji.aliuawa na wana usalama na ameaminika ni.mwenyeji wa mji huohuo aliko fanya chambulio

mpaka sasa haija aminika kuwa shambulio hilo ni la kigaidi au  na polisi bado wanaendekea na uchunguzi huku jina la mtuhumiwa likiwa alija tajwa

Post a Comment

0 Comments