ROBOT APEWA URAIA NCHINI SAUD ARABIA

Roboti aliepewa jina la Sophia apewa uraia nchini Saudi Arabia. kwa mujibu wa mtandao wa turkey imeeleza kuwa ni kwa mara ya kwanza ulimwenguni roboti kupewa uraia.

kitendo hicho kime washangaza wengi lakini serikali ya.Saud arabia imesema ni kawaida na haijutii kufanya kitendo hicho cha kumpa uraia robot.

Post a Comment

Previous Post Next Post