MZEE WA MIAKA 60 AFARIKI AKIONGEZEWA NGUVU ZA KIUME KWA MGANGA

Mwanaume mmoja aliye fahamika kwa jina la Joseph Saham miaka 60 mkazi wa kijiji cha Nzonza mkoani shinyanga afariki wakati akiongezewa nguvu za kiume

akiongea na wana habari kamanda polisi mkoa wa shinyanga.Simon haule amesibitisha kutokea kwa tukio hilo

chanzo kinasema mwanaume huyo alikuwa na upungufu wa nguvu za kiume ndipo akaamua kwenda kwa mganga aliye fahamika kwa jina la Robet nkoma miaka 35

baada ya kueleza shida yake mganga huyo alichukuwa pumpu ya kujazia upepo kwenye baiskeli na kisha kumjaza unga kwenye tundu la mkojo huku aki pimp na hiyo pump

baada ya kumpamp mzee huyo alianza kutokwa na damu na baada ya muda akakosa nguvu ndipo umauti ukamkuta

mtuhumiw wa mauaji ambae ni mganga wa kienyeji amesha kamatwa na polisi na uchunguzi unaendelea

Post a Comment

Previous Post Next Post