
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha maeneo ya mikoa ya pwani imesababisha mafuriko, huku watu wana wakipoteza maisha,
Nyumba zimebomoka huku bara bara bara zikufurika maji na kubabisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam, lenye shughuli nyingi za kibiashara
Katika eneo la Mji Mpya, Kawe, nyumba zimebomoka na baadhi ya maeneo hayapitiki.
Taarifa zinasema kuwa nyumba zaidi ya 20 zimeharibiwa vibaya na mafuriko, huku mamlaka za kusalama zikisema watu wanne wamefarik kwa maji.
Zifuatazo ni picha mbalimbali zinazonesha uharibifu maeneo ya jiji la Dar es Salaam






Tags
mafuriko