KOMPYUTA ZA MWENDO KASI ZAFELI KITUO CHA KIMARA, ZASABABISHA USUMBUFU KWA WASAFIRI



Image result for misururu ya watu wakisubiri mabasi a mwendo kasImage result for misururu ya watu wakisubiri mabasi a mwendo kas

Dar, Komputa za kampuni Usafiri wa Hara (UDART) kituo kikuu ch Kimara zimegoma kufanya kazi leo asubuhi, Oktoba 30 na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa huduma hiyo

Swahiba Blog ulishudia makundi makubwa ya wasafiri wakisubiri huku wengine wakitafuta namna nyingine ya usafiri kuwafikisha mahali husika.
 Watumiaji wa usafiri huo waloitaka majina yoa yasichapishwe mtandaoni Wamesema kuwa wamekuwa wakisubiria tango saa moja iliopita bila mafanikio, na wengine wakitumia Pikipiki zaMatairi matatu (Bajaj) ili kuwahi kwenye majukumu yao.
Mamlaka za Kampuni hazijaweza kujitokeza mara moja kuzingimzi hilo.
kwa upande mwingine wafanya biashara wa bajaji na boda boda wametumia tatizo hilo kujiongezea kipata zaidi baada ya kupandisha ghafla kwa bie kutoka 1,000 hadi 3,000 kutoka Kimara Mpaka Ubungo.


Post a Comment

Previous Post Next Post