JAMBAZI AUAWA NA MAJAMBAZI WENZAKE KWA RISASI

Mkazi wa jijini dar es salaam Robert masawe miaka 51 ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake

mtuhumiwa huyo alikamatwa na simu za wizi 19 na laini za simu 58 ambazo zote ni zawizi ambazo alizipola

baada ya uchunguzi ikabainika miongoni mwa simu hizo zingine ziliibiwa mkoani kilimanjaro wilayani moshi

pia baada ya kuhojiwa zaidi akakili kuficha bunduki aina ya SMG ambayo alikubali kwenda kuionesha alipo ificha

akiwa chini ya ulinzi aliambatana na askari mpaka moshi kwenye dampo lililpo nje ya kiwanda cha ngozi

baada ya kufika hapo aliwaona wenzake ndipo akaanza kupiga kerele baada ya kupiga kelele wenzake wakaanza kurusha risasi ambazo zilimkuta mwilini na kumsababishia kupoteza maisha

kwa mujibu wa maelezo marehemu alisha wai kufungwa kwakosa la ujambazi lakini alikata rufaa na hatimae akaachiwa kabla ya kufariki

Post a Comment

Previous Post Next Post