Kwa miaka mingi kumekuwa na minong'ono kuhusu makundi ya damu
leo napenda nikupe tabia chache za mtu mwenye damu kundi "O" miongoni mwa tabia ni hizi
MALAZI
watu wengi wenye group hili huwa hawa umwi mala kwa mala pia miili yao hupata magonjwa lakini wanauwezo mkubwa wakustahimili magonjwa Pia hawa watu hupata magonjwa ya Kichwa,maralia,kipanda uso na huwa wanatokwa na damu puani kwa mala chache pia wanawake huwa wana matatizo ya uzazi hupata mimba kwa shida na mda mwingine huwa wagumba
MAISHA
kwenye maisha hawa watu huwa wakiume hupenda sana wanawake wenye makalio makubwa na wanawake wenye group hili huwa wanabahati ya kupendwa na wanaume Pia huwa hawapendi vitu vichungu kama pilipili na vinginevyo pia watu hawa huwa watoaji sana kwa mtu mwenye shida hasa ya pesa pia watu hawa mi wasili sana kwenye mambo yao
VYAKULA
hawa watu huwa wanapenda sana maharage na dagaa huwa hawapendelei kula nyama ingawa wanakula ikiwepo
Hizi ni miongoni tu mwa tabia chache za mtu mwenye damu kundi "O"
ZIJUE TABIA ZA MTU MWENYE DAMU GROUP."O"
By -
September 02, 2017
0
Tags: