Baada ya kuamuliwa kuwa makazi na serikali yote kuhamia mkoani dodoma hatimae viwanja zaidi ya 22000 na hoteli kubomolewa
mkurugenzi wa manispaa ya dodoma ndugu Edwin kinabi amesema baadhi ya hoteli zilizopo kalibu na makazi ya waziri mkuu zita bomolewa kwa ajili ya usalama
baadhi ya wamiliki wa hoteli wamesema hawajapata taarifa rasmi ila wapo tayali kubomoa endapo watalipwa stahiki zao
miongoni mwa hoteli zitakazo bomolewa ni pamoja na hizi
PICHA ZA HOTELI ZITAKAZO BOMOLEWA DODOMA KUMPISHA WAZIRI MKUU
By -
September 03, 2017
0
Tags: