Kupitia ukurasa wake wa instagram mbunge wa singida mjini razalo nyarandu.amesema mpango wa kumpeleka lissu marekani wagonga mwamba
nyarandu ambae yupo nchini kenya kufuatilia afya ya mbunge mwenzake amesema walipenda kumsafilisha lakini imeshindikana
madaktari wamesema.hawawezi kumruhusu mgonjwa kupelekwa marekani ni kutokana na hali aliyokuwa nayo kwa sasa
pia madaktari wamesema labda siku zijazo endapo kutakuwa na ulazima lakini sasa haiwezekani kwakuwa afya yake hailuhusu kusafiri kwa muda mrefu
Tags
Siasa