MABASI YA MWENDO KASI YAGONGANA DAR

Mapema leo vituo vya mabasi ya mwendo kazi vili fulika abilia baada ya magari mawili kugongana

mabasi hayo mawili ya mwendo kasi yaligongana ubungo hatua iliyopelekea kuziba kwa bara bara hiyo ambayo ni nyembamba

hakuna vifo wala majeruhi kutokana na ajari hiyo na baada ya muda magari hayo yaliondolewa na usafiri kuendelea

Post a Comment

Previous Post Next Post