aubameyang anunua gari jipya la kifahari

mchezaji anae funga kwa kasi katika ligi kuu nchini ujerumani Pierre aubameyang ambae anachezea klabu ya borussia dortmund anunua gari mpya ya kifahari

aubameyangu ambae amecheza mechi sita na kufunga magori nane ameonekana na mkoko mpya aina ya Metalic larmborghin yenye thamani ya paun £150000

alipo fanya mahojiano na kituo kimoja alisema huwa anapenda sana magari mazuri hususani magari yenye spidi kama hili

Post a Comment

Previous Post Next Post