Kijana mmoja wa miaka 17 nchini msumbiji mwenye ulemavu wa ngozi (zeruzeru) amekutwa ameuawa na kunyoforewa ubongo
Tukio hili limetokea kaskazini mwa msumbiji ambapo kijana huyo alichelewa kurudi nyumbani ndipo wazazi wake wakaamua kumtafuta
baada ya kumtafuta wakakuta mwili wake ukiwa umekatwa mikono na miguu huku ubongo wake ukiwa umetolewa
mkuu wa polisi eneo hilo amesibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo linaaminika kuwa linatokana na imani za kishilikina
uchunguzi unaendelea kuwabaini walio fanya tukio hilo huku raia wa Tanzania wakitajwa kuwa ni wateja wa viungo vya albino nchini msumbiji.