POLISI WAENDA TENA KUPEKUA NYUMBA YA TUNDU LISU

Admin
By -
0



Taarifa zilizo tolewa na chadema ni kwamba jeshi la polisi limeenda nyumbani  kwa mbunge wa singida mashariki Tundu lisu kupekua

ameongozana na msafara wa jeshi la polisi kwenda kufanya upekuzi huo kama walivyo fanya kwa mara ya kwanza

polisi walisha wai kumpekua mbunge huyo na kuchukua CD6 ambazo zilikuwa ni za uchunguzi alio ufanya mwaka 1999 kuhusu mgodi wa Buzwagi

mkuu wa kanda maalumu ya polisi baadaya kupigiwa cm na kuulizwa kuhusu Tundu lisu alikata simu hakuwa tayari kuongea

Lisu amehojiwa kwa kufanya uchochezi juu ya kukamatwa kwa ndege  ya serikali na kumzarau raisi.


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)