MKE WA RAISI MUGABE AKAMATWA AFRIKA KUSINI



Mke wa raisi wa Zimbabwe Grace mugabe akamatwa na polisi nchini Afrika kusini

mke huyo wa Mugabe alikamatwa baada ya kumfanyia vurugu mwanamke mmmoja wa afrika kusini

kwa mujibu wa taarifa mke wa mugabe alimshambulia kwa waya binti wa miaka hishilini ambae ni mpenzi wa mtoto wake

mpaka sasa kisa cha ugomvi wao hakija fahamika lakini binti huyo alitoa taarifa kwa polisi kuwa alipigwa na.Grace mugabe

tukio hilo limetokea katika hoteli moja ya kifahari mjini Johanesburg ambapo binyi huyo alikuwa na mpenzi wake ambae ni kijana wa grace mugabe

afisa mmoja wa polisi alisema mama huyo ni lazima apandishwe kizimbani kujibu tuhuma zake zinazo mkabili


Post a Comment

Previous Post Next Post