MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA BAADA YA KUZIDISHA MUDA WA KUHUTUBIA KWA DAKIKA 7



Mbunge wa chadema.Arusha mjini Godbless lema alikamatwa jana baada ya kuzidisha muda wa kuhutubia

mbunge huyo alikamatwa wakati akiondoka kutoka kwenye mkutano alio kuwa ameufanya na wananchi wake wa jimbo la Arusha mjini

wakati akikalibia round about polisi walimzuia kwa kuweka gari mbele na nyuma ya msafara wake na kumtaka aende kituoni

polisi wamesema alitakiwa amalize mkutano wake saa 12:00 lakini yeye akamaliza saa 12:07 hivyo basi amevunja sheria


Post a Comment

Previous Post Next Post