Mbunge wa jimbo la Tunduma Frank mwakajoka amekamatwa na polisi wilayani mbozi
mbunge huyo alikwenda kusikiliza kesi ya mbunge mwenzake wa jimbo la Mbozi Pascal haonga ambae alikuwa akikabiliwa na kesi ya kufanya vurugu na kuzuia polisi wasifanye kazi yao kwa mujibu wa sheria
mpaka sasa mbunge huyo hafahamu amekamatwa kwa kosa gani
katika kesi hiyo mtuhumiwa Pascal haonga na wenzake wawili wali kana mashitaka na mahakama ikawaachia kwa dhamana ya shilingi mikion mbili na wazamini wawili kila mmoja na kesi hiyo kuhairishwa mpaka september 25
MBUNGE CHADEMA AKAMATWA AKISIKILIZA KESI YA MBUNGE MWENZAKE
By -
August 29, 2017
0
Tags: