MADIWANI WALIO JIUZURU CHADEMA WAOMBA KURUDI CHADEMA

Admin
By -
0



Meya wa manispaa ya ubungo akihojiwa mapema leo asema baadhi ya madiwani walio hama chadema waomba tena kurudi

meya huyo amesema kuna madiwani wengi tuu wameandika barua za kuomba kurudi tena kundini

amesema wengi walio tangaza kuhama chama walikwenda baada ya kurubuniwa na chama tawala na walipewa ahadi za kifedha

alipoombwa ushahidi alisema kuna diwani alihaidiwa milioni kumi na alisha wekewa banki lakini alipo jiuzuru pesa hizo wakazitoa kwa kusema walikosea

anasema wengi walihaidiwa milioni kumi lakini baada ya kujiuzuru hawakupewa na sasa wanatamani kurudi tena

pia amesema madiwani wa dar es salaam hawaja jiuzuru kwa kuwa wanajielewa na walipewa ofa hizo lakini hawa kuzitendea kazi kutokana na uelewa wao


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)