ALIYE MTEKA MTOTO AKAMATWA MWANZA



Mwanaume aliye tambulika kwajina la Emanuel karumbas mkazi wa mala mpaka mkoani shinyanga akamatwa ma polisi baada ya kumteka mtoto

mwanaume huyo almteka mtoto wa kike wa miaka 8 mapema baada ya kurudi shule na kutokomea kusiko julikana

baada ya muda aliwapigia cm wazazi wa mtoto huyo akiwataka wampatie kiasi cha chilingi milioni 3 ili amwachie mtoto huyo

baada ya polisi kupata taarifa hizo walianzisha uchunguzi na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo


Post a Comment

Previous Post Next Post