WATU 8 WAMEKUTWA WAMEFARIKI NDANI YA ROLI MAREKANI



Polisi kwenye mji wa Texas nchini marekani yasibitisha kukuta watu wanane wakiwa wamefariki ndani ya roli

polisi wamesema walipokea simu kutoka kwa muuzaji wa duka ambae alisema kuna watu wapo ndani ya roli anawailia mashaka

watu hao walienda dukani kuitaji maji ya kunywa ndipo alipo watilia mashaka kutokana walikuwa wamechoka saana

baada ya polisi kuwasili walibaini miili ya watu nane marehemu na wengine hishilini wakiwa hawajiwezi baada ya kukosa maji na chakura

mpaka sasa polisi imemkamata dereva wa gari hilo na uchunguzi wa kubain walikotoka ukiwa unaendelea


Post a Comment

Previous Post Next Post