SPORTPESA KUSITISHA UDHAMINI LIGI KUU KENYA

Admin
By -
0

Kampuni ya ubashiri wa matokeo ya mpira ya nchini kenya SPORTPESA imesema inafikilia kusitisha udhamini wake nchini kenya

kampuni hiyo imesema ongezeko la kodi kufikia 35% ni ongezeko kubwa na huenda linampango wa kuiua biashara ya utabiri nchini kenya

majuzi serikali ya nchini kenya ilisibitisha na kuidhinisha kupanda kwa kodi mpaka kufika asilimia 35 kwa kampuni za kamari nchini kenya

pia serikali imesema imeamua kupandisha kodi hiyo kwakuwa vijana wengi wanacheza kamali hasa vijana wa shule kiasi kwamba wamashimdwa kufanya vizuri katika masomo hayo

pia sportpesa wamesema watakapo fikia uamuzi wa kupunguza uzamini athari hiyo itakuwa kwa timu ya za kenya tuu na siyo zile za nje ya kenya

kampuni hiyo iliyo jizolea umaarufu mkubwa kwa sasa ina zamini timu nyingi ikiwemo everton ya uingereza na simba,yanga na singida united zote za tanzania


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)