Katika kufanikiwa kuna mambo mengi ambayo binafsi unatakiwa kuyazingatia ili kufikia malengo yako ya maisha miongoni mwa njia ni hizi zifuatazo
FANYA UNACHO KIWEZA
ili ufanikiwe unatakiwa kujithimini ujue na utambue katika maisha unaweza kufanya jambo gani mfano .muziki,mpira au biashara na ukisha tambua ninini unaweza fanya jambo hilo bila kujali unapitia magumu gani katika kufikia malengo yako
EPUKA KUFANYA JAMBO UNALOTAMANI
wapo watu walishindwa kufanikiwa kwakuwa walifanya mambo wasiyo yaweza ila walifanya tuu kwa kuwa fulani alifanya na akafanikiwa bila kujali kwa upande wake imekaaje wapo waliotamani mafanikio ya msanii fulani bila kujari kama na yeye anakipaji akaamua kufanya muziki mwishowe akajikuta anaishia njiani
EPUKA KUJIFUNZA KWA WALIO SHINDWA
kuna baadhi ya watu hushindwa kufanya mambo fulani kwakuwa kuna mtu alifanya na akashindwa au alipatwa na matatizo nae akajikuta ameshindwa kufanya jambo hilo ndiyo maana una shauliwa kufanya jambo bila kujali au kuangalia mtu ambae alishawai fanya na akashindwa
JARIBU KUWA NA MARAFIKI WALIO KUZIDI MAENDELEO
katika kufikia malengo unatakiwa kuwa karibu na watu ambao wamesha kuzidi maendeleo ili wakupe hamasa ya kufikia ambako wao wamefikia katika maisha
PENDA USHAURI KUTOKA KWA WATU
pia unashauliwa endapo unaitaji kupata mafanikio maishani unatakiwa kupokea ushauli kutoka kwa watu mbalimbali ili ushauli huo ukusaidie katika harakati zako za kimaisha
PENDA USHILIKIANO NA WANAO FANYA JAMBO KAMA LAKO
unashauliwa kupenda kushilikiana na watu wanao fanya jambo kama unalolifanya wewe maana wataweza kukupa njia za kuweza kufanikisha baadhi ya mambo ambayo yatakuwa yakikutatiza
Hivyo basi hizi ni miongoni mwa njia za kufanikiwa katika kila jambo ulifanyalo katika maisha ya kila siku
NJIA KUU ZA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA
By -
June 24, 2017
0
Tags: