NAY WA MITEGO APOST SANAMU YA MIMBA FAKE NA KUANDIKA HAYA NI BAADA YA MIMBA YA WEMA KUPOTEA

Rapper Nay wa Mitego kupitia akaunti yake ya instagram amepost picha ya sanamu la mimba kama inavyoonekana hapo chini na kuandika “Eti jamani ivi zinauzwa shillingi Ngapiiiiiii?! #ShikaAdabuYako nitumie kipande unacho kipenda zaidi #ShikaAdabuYako
Post hiyo imekuja masaa kadhaa baada ya Idriss kupost kwamba mimba ya Wema imetoka na bila shaka Nay wa Mitego amepata pa kukazia ile diss yake aliyoitoa kwenye wimbo wake wa Shika adabu yako ambapo alimwonya Wema kuwa ana mimba kweli ama anatafuta kiki.

Post a Comment

Previous Post Next Post