Licha ya kupongezwa na wengi wa mashabiki zake lini pia ameambulia vijembe kutoka kwa shabiki zake kwamba inakuaje ana wafuasi milioni moja Instagram wakati video yake ina mwezi haijatazamwa hata mara elfu 50 na wengine kudai wengi wa wafuasi wake wanapenda picha zake za kujiachia tu..angalia baadhi ya coments..
theoneamorUnfortunately a vast majority of your followers are only keen on viewing the half naked pictures you post hence few likes in regard to the posts you make. Sad indeed.
marion_cobratteInakuaje 1M followers halafu ur latest video ina one month YouTube na haijafikisha hata views 50,000??? Ina maana watu wanaKufollow kutazama zaidi maisha yako ya nje ila kazi hawafuatilii